GETO LA KUSHEA || Episode 08
YouTube transcript, YouTube translate
A quick preview of the first subtitles so you know what the video covers.
Yaani Nuru hii nyumba yako ni mauzauza . Mauzauza gani Sasha ? Mi nakuambia wewe una stressi . Nuru hivi unajua mimi sio chizi mpaka nikimbie vile nimeshika ndavi . Mi nakuambia hivi Sasha nimekaa humu ndani saa hivi namaliza miezi minne sijawahi kusikia chochote humu ndani labda tu kipindi fulani kuwa kuna panya wakawa wanadondosha dondosha tu vyombo . Panya panya bibi kikombe chai na kufungua mamumba ya maji unaskia rafiki yangu wewe mim najua saa hivi una stressi unapitia mambo mengi kwa hiyo inabidi upumzike upate muda wa kutosha wa kupumzika jamani nuru m nina uhakika na nayeongea . Sawa nimekuelewa rafiki yangu twende ndani sasa tukapumzike . Unaskia tufsi ? Chipsi wewe husiki ? M Sasha unaamu ya chipsi? Eh jamani nasikia harufu ya chipsi . Chipsi gani? Sasha jamani haki ya Mungu Nuru mi naskia harufu ya chipsi . Hebu inuka bwana tu tukapumziki. . Twende . [muziki] Nyanyuka. . [muziki] [muziki] [muziki] Jamani samahanini kuna emergency imetokea eh samahanini ndugu zangu vipi mzee mzee faini kwanza ah si tuko sawa vile wewe fungua tu lewi mzee sio kawaida huyu leo si nimemweza ah kweli J umemweza ah umefanyaje fanyaje leo mzee ah si mambo yangu ya ufundi nini m naambianga kila siku nchukue tshen kwangu hamtak mambo yako yaani [kicheko] kwa nini tunamuona yaani kwa nini hatutumii sauti [muziki] Ah mwanangu we acha tu. Vipi mzee ? Yaani mwanangu una hilo lidemu nilidate nalo . Sawa tukaachana alafu lilinikopesha kama milioni mbili hivi . Kwa hiyo linadai hadi leo. . Mhm. Sasa cha ajabu nini unajua ? Sijui lina urafiki na nuru