icon 字幕
正在載入字幕...

THE ROYAL CIRCLE | EPISODE 1 OFFICIAL TRAILER

youtube 翻譯 youtube 中文翻譯 youtube 字幕 youtube 中文字幕 youtube 翻譯成中文 youtube 視頻翻譯 youtube translate to chinese translate youtube to chinese youtube transcript to chinese translate youtube video to chinese

YouTube transcript, YouTube translate

15/32

A quick preview of the first subtitles so you know what the video covers.

Unaweza kulea kingasti . Kulea kingasti. Kulea mwanaume asiokuwa na pesa . Never ever. Kugombania bwana mimi this time nitaweza kunani kugombania bwana . kazi yoyote ukishatangaza tu na mahusiano nina pendo langu penzi hamuoni kama nimenenepa kidogo eh kwenye ndoa zako zote ndoa ipi unasema hii ndoa najuta kuingia kwenye hii ndoa ama kwenye hili penzi ni lipi yaani mimi nikisikia ndoa nasikia utumwa nasikia kuonewa nasikia kupelekeshwa kuna namna nilikuwa naambiwa nifanye kazi kwa staili fulani nilikuwa nikuwa naiona mimi inanishusha nikawa nakataa mimi bwana napenda tu kuona mtu ananijali how bibi umekula bibi uko wapi hapo ugonjwa wangu nadhani labda sijakutana na mtu ambaye mimi namuanza kwenye kichwa changu nitakupiga bwana hiyo mada tuiache eleweni kwamba nishawahi kukopwa milioni

設定

100%

翻譯目標語言

🔊 音訊播放
正在播放翻譯音訊