VIDEO ZAIYLISSA AMCHAMBA VIBAYA MAIMATHA "TUMBO KUBWA SABABU YA UMBEA"
YouTube transcript, YouTube translate
A quick preview of the first subtitles so you know what the video covers.
wanasema kuwa zamwizi zamwizi ni 40 hapa tutumie msemo gani hapa eh au msema husemwa au nini hapa tusemeje hapa nashindwa kupata ah msemo sahihi ah lakini ni kwamba myth bwana na yeye amejaa eh kwenye simu ya Zailisa eh Myatha na yeye bwana amejaa kwenye simu ya Zailisa ambako Myatha bwana aliweza kualikwa juzi hapa kwenye shughuli ah si unajua tena ekaeka za mjini hapa kila siku mambo ni mambo ni moto kwa hivyo alipata mwaliko wa kuhudhuria kwenye shughuli moja hivi na akawa ametoka na monekano fulani hivi ambao kila mmoja bwana aliweza kumshambulia myth eh huu mwonekano watu wakaudisi sana watu wakamsema sana mytha watu wakamzodoa sana myatha watu wakamnang watu wakamnanga sana maimatha Watu wakamlarua kweli bwana alionekana yuko nao. Tumbo kubwa eh na nini unajua zile sasa Zailisa si unajua tena Myat yeye kazi yake aa ni kupigia mastaa na kuwauliza habari mbalimbali kuhusiana na maisha yao skendo mbalimbali na vitu kama hivyo . Zailisa bwana na yeye akabidi bwana leo amgeuzie ah kibano mytha eh zailisa akachukua simu yake na kumpigia Myatha huku akiwa anarekodi mazungumzo kama ambavyo tu myatha anafanya pale ambapo anakuwa anawapigia mastaa . Ndio maana nikasema huu msemo tuuwekeje ? Eh ni kwamba mliwa kaliwa . Eh ni eh tuseme ni mula kaliwa au tuwekeje za mwizi 40 au tuwekeje? ? Anashindwa kupata msemo sahihi lakini upo ila kichwani naona umegoma kabisa umegoma kabisa kuja. Sasa Zailista bwana kuhusiana na eh nguo ambayo kavaa na huo mwonekano ambao eh Myatha bwana ameonekana yuko nao eh kwamba bwana eh Zelisa anasema eti watu wanakucheka sana hilo tumbo jinsi ambavyo lilivyokubwa . Watu wanasema limejaa kwa sababu ya mambo ya watu . Tumbo limejaa kwa sababu ya kufuatilia mambo ya watu . Punguza eh kufuatilia mambo ya watu ndio eh upungue uweze kupungua . Lakini Myat anasema hapana mwanamke bwana ni ti tatu . Eh yaani titi tumbo pamoja na kalio . Kwa hiyo Myat anasema hiyo iko sawa kabisa