icon כתוביות
טעינת כתוביות...

TAKSI MTANDAO YAZIDI KUSHIKA KASI! JAMBO RIDE YAZINDUA HUDUMA TANZANIA

youtube תרגום youtube מתרגם youtube תמליל youtube כתוביות תרגום youtube לעברית youtube תרגום וידאו youtube translate to hebrew translate youtube to hebrew youtube transcript to hebrew translate youtube video to hebrew

YouTube transcript, YouTube translate

32/32

A quick preview of the first subtitles so you know what the video covers.

Mimi jina langu naitwa Lela Abubakar ni operational manager wa Jumbo Ride Taxi mtandao . Niko hapa leo kuzungumza na nyinyi kama wadau wetu kama washirika wetu katika jambo hili . Lengo ni kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa Watanzania wenzetu na watumiaji wa taksi mtandao juu ya huduma yetu mpya . Jumbo Ride ni kampuni ya kitanzania ilowanazishwa hapa hapa nyumbani Tanzania kwa ajili ya watu wetu hapa nyumbani lakini pia kwa ajili ya kurahisisha huduma hii ya usafiri . Jumbo Ride kampuni yetu hii ya usafiri inafanya kazi kwa sasa katika mkoa wa Dar es Salaam na inapatikana maeneo yote na tayari tumeshaanza kufanya kazi na sasa hivi tumewaita waandishi wa habari kwa ajili ya kupeleka zaidi taarifa kwa watu wetu ili waweze kufahamu . ina huduma mbalimbali ikiwemo huduma ya kuita pikipiki ambayo sisi tumezoea tunaita boda boda lakini pia tunaweza kuita bajaji tunaweza kuita gari ambayo imegawanyika katika sehemu mbili gari ya kawaida na gari exl yaani kwa watu ambao wanataka kusafiri wengi lakini pia mbali na huduma hii ya usafiri pia tuna huduma ya ajira kwa madereva ambao madereva wataweza kujiajiri kupitia ya huduma hii ya taxi mtandao kupitia kampuni yetu ya Jumbo Ride lakini tuna huduma ya packaging na delivery ambayo inapatikana pia kupitia kampuni hii ya Jumbo Ride . Huduma nyingine ambayo inapatikana katika kampuni yetu ya Jumbo Ride ni Ride Share . Yaani ikiwa mimi na mwenzangu tunataka kusafiri kwenda sehemu moja lakini ile sehemu ambayo mimi nataka kwenda yaani nitapita eneo ambalo liko. . Kwa hiyo tunaandika ride share kwamba tunashare ride . Faida tutakayoipata hapa dereva atapata faida ya kupata I mean nauli mara mbili . Yaani mimi nitalipa na mwenzangu ambaye tunashare ride pia atalipa lakini sisi tutapata punguzo kwamba tutagawana ile pesa ya kulipa kutokana tumeshare . Lakini pia tuna huduma ya wallet ambayo ni imegawanyika katika makundi matatu . wallet ya family ambao nalipia mimi watu wangu wa familia yangu kupitia kadi au wallet yangu ambayo nimeiambatanisha katika taxi yetu mtandao ya jumbo ride

הגדרות

100%

שפת היעד של התרגום

🔊 הפעלת אודיו
הפעלת אודיו מתורגם