CHANUO AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA MUME WAKE YJKIBOKI/NILIFATA PESA ZIMEISHA SIMTAKI/HAJUI KUIMBA
YouTube transcript, YouTube translate
A quick preview of the first subtitles so you know what the video covers.
mtazamaji eh tumepata nafasi ya kupiga stori na chanuo ni chakali bwana na ukumbuke tu bwana chanuo inasemekana yeye na mumewe ama aliyekuwa mumewe YJ Kiboko kuna mtafaru kuna bifu zito wenyewe wanasema ugomvi ambao umepelekea mambo yakawa makubwa mpaka hivi sasa wameanza kupostiana mitandaoni na kusemana kama nimepata nafasi ya kutembelea akaunti ya Chano juzi na jana basi utakuwa umeona alichokuwa akikizungumza kuhusiana na mwanaume wake lakini Pia YJ Kiboko naye kuna maneno ambayo yeye ameyazungumza kumhusu Chanuo . Oh yeye ndio mwanaume ambaye alimfanya Chanuo akanenepa . Zamani alikuwa mwembamba . Mimi nimecheka sana. . Niko naye hapa Chanuo tutapiga naye stori . Mimi naitwa Laini niseme tu ka nami mwanzo mpaka mwisho . Chanue. Pole kwanza hivi nikupe pole au nikupe hongera ? Nipe hongera bana . Pole andini saa hizi kwa ho tunakubaliana kwamba swala la kuachika ni kitu cha kawaida . Kwa hiyo nikupe hongera sana . mkishindana si mnaachana kwa sababu sasa hivi kuna mambo mengi wajua kwenye dunia eh kwa hiyo m naamini mtu mkishindana mnaachana kwa amani alafu alionekana mbaya ni yule anayeongea kwa sababu amechok ehe mimi niliwahi kuyapitia mengi nyuma nikawa nakaa kimya kwa hiyo alinitesa sana kama msichana binti mdogo ambaye anapambania maisha yangu na watoto wangu mwenyewe. Kwa hiyo sasa hivi mtu akinikwaza nikiona ananiongelea vitu ambavyo vinaniumiza naona bora tuyafanye yafanye nini? Yaishe . Yaani kila mtu ajue hiki kitu hakipo tena . Sina maana kwamba navuka maadili yangu niliolelewa na wazazi wangu . Mimi ni muislamu. Sema tu siwezi kuendelea na mtu ambaye ananiumiza sana . Umeelewa? Eh, wanaume wana vitu vingi . Sisemi kwamba ni wote ile. Wana vitu vingi . Sasa nyuma ya pazia watu wengine hawajui . Ila kwa sisi ambao ni vyoo vya jamii kila tutakachokifanya tunaonekana wasanii wale wasanii wana kitu fulani ila hatuko hivyo