MWIJAKU ALIVYOMZODOA JUMA LOKOLE, PIPY TIDA NA MASHA LOVE MBELE YA WAZIRI PATROBAS KATAMBI
YouTube transcript, YouTube translate
A quick preview of the first subtitles so you know what the video covers.
[kusafisha koo] kwa niaba ya wasanii wote kwanza tumezungumza mengi lakini tumependa kumpongeza mheshimiwa waziri kijana mwenzetu lakini anatekeleza yale ambayo serikali ya awamu ya sita chini ya rais wetu Samia Suluh Hassan alikuwa anayakusudia hasa wakati tunazunguka naye katika nchi nzima moja kati ya vitu vizuri alivyovifungua na mheshimiwa alikuwa anatupambania kuvisema Sema nini ? Lazima serikali yaani polisi iwe sehemu yako salama au viongozi wawe sehemu yako salama . Yaani usione simu ya polisi ikawa shida . Ukamuona kiongozi ikawa shida. Leo mheshimiwa waziri ametufungua kitu kimoja kizuri sana . Ameweka wazi nini cha kufanya na nini kutokufanya . Lakini amesisitiza kuwa kutokujua sheria sio sababu ya wewe kufanya kosa . Ametuasa na kukutumbusha kama sisi katiba na sheria ndogo ndogo hasa za mtandaoni . Ameprint makaratasi mengi hapa . ametumia muda wake kuprint na kutuhakikishia kuwa sio tu kusoma lakini tunakuwa tunaishi kupitia hizi sheria zilizowekwa kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu . Sasa linawezekana likawa geni kwa mataifa mengine lakini kwetu naweza nikasema mheshimiwa waziri amekuwa njia ya kufungua Tanzania ile ambayo mama yetu Samia Suluh Hassan alikuwa anaikusudia . Tanzania ya upendo, Tanzania ya kumuona mwenzio nimlinde utu wake nimheshimu . Ukimuona mwenzio unasema kabisa huyu anapaswa kuwa huru na furaha katika taifa lake . Umaarufu au kutokuwa maarufu haikupi sababu ya wewe kusema nivunje sheria then nitapiga simu moja . Amesisitiza hilo la simu. Ni . Nina mtu juu halipo . Kubwa ni sisi kuheshimiana na kufuata taratibu za nchi zilizowekwa . Pasi na kumuonea mtu . wewe una jina au ? Lakini nimependa jambo lake moja ambaye mwishoni alizungumza la kusema kuwa kusamehana kupo lakini isiwe mazoea